// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TIMU YA WASHANGILIAJI WA TANZANIA KWENYE AFCON 2013 IKIFANYA VITU VYAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TIMU YA WASHANGILIAJI WA TANZANIA KWENYE AFCON 2013 IKIFANYA VITU VYAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, February 20, 2013

        TIMU YA WASHANGILIAJI WA TANZANIA KWENYE AFCON 2013 IKIFANYA VITU VYAKE

        Wawakilishi kutoka nchi mbalimbali katika timu ya ushangiliaji ya Afrika, wakiwa katika moja ya maeneo ya michezo nchini Afrika ya kusini wakati wakishiriki kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya Bukina Faso na Nigeria.



        Filbert Nestory.  Hapa akionyesha umahiri wake kwenye ushangiliaji kwenye mjumuiko wa ushangiliaji katika mechi baina ya Burkina Faso na Nigeria



        Wawakilishi wa Tanzania katika timu ya ushangiliaji ya Afrika, kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zilizomalizika hivi karibuni nchini Afrika Kusini, Filbert Nestory na Yahya Hamza wakiwa katika moja ya maeneo ya michezo nchini Afrika Kusini wakati wakishiriki kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mechi ya fainali kati ya Burkina Faso na Nigeria
        Uwanja

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: TIMU YA WASHANGILIAJI WA TANZANIA KWENYE AFCON 2013 IKIFANYA VITU VYAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry