// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 15, 2013

    SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO

    Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’. 

    Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’ (kushoto), akiwa ameshika kwa pamoja na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, jezi waliyopewa na klabu ya Sunderland ya England, ambayo wataitumua katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

    Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’ (kushoto), akimkabidhi jezi alizotoa kwa ajili ya timu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam.

    Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’ (kushoto), akiwa ameshika jezi ambayo Simba wamepewa na klabu ya Sunderland ya England.

    Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akifurahia jezi waliyopewa na klabu ya Sunderland ya England.

    Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’ (kushoto), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage.

    Wameshika jezi ya Sunderland

    Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’. 

    Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos ‘Malkia wa Nyuki’. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top