// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SHEREHE ZA TBL KUKABIDHI BASI LA TAIFA STARS ZILIVYOFANA LEO DAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SHEREHE ZA TBL KUKABIDHI BASI LA TAIFA STARS ZILIVYOFANA LEO DAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 21, 2013

    SHEREHE ZA TBL KUKABIDHI BASI LA TAIFA STARS ZILIVYOFANA LEO DAR

    Basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars likiwa limepaki ndani ya Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Ilala, Dar es Salaam tayari kukabidhiwa kwa uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) asubuhi ya leo.


    Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia wakati wa kukabidhi basi la taifa Stars

    Beki wa Taifa Stars, Erasto Nyoni akishuka kwenye basi hilo

    Kocha wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen akishuka kwebye basi hilo

    Kocha Kim akiwa ameketi ndani ya basi na Nyoni

    Nyoni akipanda basi

    Msaa wa kundi la Wanne Star, akiwa amepaka rangi za bendera ya taifa, kuashiria mapenzi kwa timu yake ya taifa, Taifa Stars

    Rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia akiteta jambo na Katibu wake, Angetile Osiah kushoto. Katikati ni Kim Poulsen

    Kutoka kulia Kim Pouslen, Tenga, Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche, Meneja Masoko wa TBL, Kushila Thomas na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Kavishe wakati wa makabidhiano ya mfano wa ufunguo wa gari hilo

    Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu kulia akiwa na mwandishi wa Star TV, Joyce Nsiima 

    Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni akiwa na Nyoni kushoto 

    Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche akihutubia

    Kushila kulia na Tenga kushoto wakifuatilia DVD ya basi la Taifa la Stars 

    Hapa joto lilizidi, Tenga akijipepea na kujifuta kulia na Kim akijifuta jasho

    Wasanii wa kundi la Wanne Star wakitoa burudani

    Tenga akiwaelekeza jambo, Kim na Angetile

    Tenga akihutubia 

    Vijana wa Wanne Star wakifanya vitu vyao

    Vijana wa Wane Star wakifanya mambo yao

    Vijana wa Wane Star hao
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SHEREHE ZA TBL KUKABIDHI BASI LA TAIFA STARS ZILIVYOFANA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top