SHABIKI mmoja jana alivamia Uwanja wa Nya Ullevi mjini Gothenburg wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Sweden na Argentina na kwenda moja kwa moja kwa Lionel Messi kukata kiu yake. Argentina ilishinda 3-2.
Huyoo anamkaribia Messi
Shabiki huyo alikwenda moja kwa moja na kumkumbatia Messi, akimpiga mabusu bwerere kisha akaondoka zake.
Mwah: Mabusu hadi kichwani
VIDEO: Angalia tukio kamili hapa
VIDEO: Angalia mechi