MABAO ya Wayne Rooney dakika ya 26 na Frank Lampard dakika ya 60, yameipa ushindi wa 2-1 England dhidi ya Brazil katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Wembley jana usiku. Bao la Brazil lilifungwa na Fred dakika ya 48 katika mchezo huo mtamu, uliokonga nyoyo za Waingereza
Kikosi England jana: Hart, Johnson, Cahill, Smalling, Cole (Baines 46), Cleverley (Lampard 46), Gerrard, Wilshere, Walcott (Lennon 76), Rooney, Welbeck (Milner 62).
Benchi: Walker, Butland, Jagielka, Lescott, Osman, Oxlade-Chamberlain.
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Luiz (Miranda 78), Dante, Adriano (Filipe Luis 70), Paulinho (Jean 62), Ramires (Arouca 46), Ronaldinho (Lucas Moura 46), Neymar, Luis Fabiano (Fred 46), Oscar.
Benchi: Diego Alves, Leandro Castan, Hulk.
Refa: Pedro Proenca (Ureni)
Waliohudhuria mechi: 87,453
Mfungaji wa bao la ushindi, Frank Lampard akitoka uwanjani baada ya mechi
Steven Gerrard na Wayne Rooney wakimpongeza Lampard kuwafungia bao la ushindi
Lampard akimtungua Julio Cesar
Julio Cesar (kushoto) akiruka bila mafanikio
Rooney akishangilia baada ya kufunga
Julio Cesar alizuia mchomo mmoja mkali sana wa Theo Walcott
David Luiz akiwaongoza wenzake kushangilia bao lililofungwa na Fred wa pili kushotoVIDEO: GRAHAM CHADWICK AT ENGLAND V BRAZIL
Neymar akimiliki mpira mbele ya Tom Cleverley
Beki wa kulia wa Brazil, Dani Alves akigombea mpira na Wilshere
Peter Shilton akimpa zawadi Gerrard kwa kufikisha mechi 100 za kuichezea England Novemba mwaka jana dhidi ya Sweden
Ashley Cole kushoto naye ametimiza mechi 100 jana
Kocha wa Brazil, Luiz Felipe Scolari
Samba! Madansa wakifanya vitu vyao
SHOWREEL: KEVIN QUIGLEY'S BEST SNAPS FROM WEMBLEY