BAO pekee la Oscar usiku wa jana limeipa ushindi wa 1-0 Chelsea dhidi ya wenyeji Sparta Prague na kufufua matumaini ya kuendelea na michuano ya Ulaya.
Huo ulikuwa ushindi wa kwanza ugenini kwa timu ya Roman Abramovich tangu wafungwe 3-0 na Juventus mjini Turin na kutolewa katika Ligi ya Mabingwa na kumfukuza kocha Roberto Di Matteo. Ulikuwa ni ushindi muhimu, japo usio na mvuto.
VIKOSI VYA JANA;
Sparta Prague: Vaclik, Zapotocny, Svejdik, Holek, Hybs, Husbauer (Bednar 85), Vacha, Matejovsky, Kadlec, Lafata (Kweuke 76), Krejci (Pamic 81).
Benchi: Cech, Vidlicka, Polom, Janos.
Kadi ya njano: Husbauer.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Bertrand,Lampard, Ramires, Marin (Benayoun 68), Mata (Oscar 81), Hazard, Torres.
Benchi: Turnbull, Cole, Ferreira, Terry, Ake.
Kadi ya njano: Cahill.
Mfungaji wa bao: Oscar dk 82.
Mahudhurio: 18,952
Refa: Daniele Orsato (Italy).
Super sub: Oscar alitokea benchi kuifungia bao la ushindi Chelsea
Oscar akipongezwa na wenzake
Vaclav Kadlec akigombea mpira na Frank Lampard
Juan Mata akimuacha chini Ladislav Krejci