Wachezaji wa Nigeria wakishangilia Kombe lao la Mataifa ya Afrika baada ya kuifunga Mali 1-0 kwenye Fainali nchini Afrika Kusini jana.
Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi akiwa ameshika Kombe ambalo awali alitwaa akiwa mchezaji mwaka 1994
Rais wa FIFA, Sepp Blatter wa pili kutoka kulia alikuwepo Johannesburg jana, chini mashabiki wakiwa na bango na kuonyesha upendo wa Waafrika kwake