// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MTIBWA NA YANGA KATIKA PICHA LEO TAIFA, LILIKUWA BONGE LA MECHI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMTIBWA NA YANGA KATIKA PICHA LEO TAIFA, LILIKUWA BONGE LA MECHI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MTIBWA NA YANGA KATIKA PICHA LEO TAIFA, LILIKUWA BONGE LA MECHI
Mshambuliaji wa Yanga, Hamisi Kiiza akifumua shuti mbele ya beki wa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.
Kiiza akijiandaa kupiga shuti
Kipa Hussein Sharrid 'Casillas' wa Mtibwa Sugar akizuia mchomo wa mshambuliaji wa Yanga SC, Jerry Tegete
Daktari wa Yanga, Nassor Matuzya akimtibu kiungo wa Yanga, Simon Msuva baada ya kuumia katika moja ya pilika za mchezo huo
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shaaban Kisiga 'Malone' akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga, Athumani Iddi 'Chuji' na Mbuyu Twite kulia
Wachezaji wa Mtibwa wakimpongea Kisiga baada ya kuifungia timu yao bao la kuongoza leo
Kikosi cha Mtibwa leo
Kikosi cha Yanga leo
Hamisi Kiiza wa pili kutoka kushoto na Said Bahanuzi kabla ya kuingia kuinusuru Yanga leo
Kipa Hussein Sharrif 'Casillas' akiwa ameruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...