// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KWA NINI MABEKI WA KUSHOTO BRAZIL WANAVAA 6 WAKATI WOTE? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KWA NINI MABEKI WA KUSHOTO BRAZIL WANAVAA 6 WAKATI WOTE? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 07, 2013

    KWA NINI MABEKI WA KUSHOTO BRAZIL WANAVAA 6 WAKATI WOTE?


    Kwa nini mabeki wa kushoto wa Brazil wakati wote wanavaa jezi namba 6? 
    Kwa England, na sehemu nyingi duniani, hiyo ni namba maarufu kwa mabeki wa kati, au viungo wa katikati, lakini mabeki wa kushoto? Inaonekana kama haijatulia hivi.
    Lakini kulingana na historia, inaleta maana fulani. 
    Come in No 6: Adriano donned the famous Brazilian left wing back shirt on Wednesday night
    Adriano alicheza beki tatu nzuri saana jana dhidi ya England

    Namba za jezi zilianza miaka ya 1920, na rasmi zilitumika katika fainali ya Kombe la FA mwaka 1933 kwa mara ya kwanza. Tangu hapo, kama kwenye rugby, namba zilitegemeana na nafasi anayocheza mchezaji. 
    Jezi namba 6 aliyovaa Adriano jana ni ambayo walivaa mabeki wengine waliomtangulia katika nafasi hiyo kwenye kikosi cha Brazil, kama Roberto Carlos, Everaldo na wengine wengi.
    Six-shooter: The legendary Roberto Carlos, famed for the velocity (if not always the accuracy) of his free-kicks
    Beki wa zamani wa kushoto wa Brazil, Roberto Carlos akiwa na jezi yake namna sita enzi zake.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KWA NINI MABEKI WA KUSHOTO BRAZIL WANAVAA 6 WAKATI WOTE? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top