LONDON, England
SIKUKUU ya Pasaka inakuja mapema mwaka huu, hii inamaanisha kwamba msimu wa Arsenal utakuwa umefika tamati mapema zaidi pia msimu huu.
Ni kweli kutoka kwa, Arsenal kwenye Kombe la FA dhidi ya Blackburn inamaanisha kwamba Arsene Wenger sasa akili yake iko sehemu moja tu.
Kushindwa kuitoa Bayern Munich kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kutamaanisha kwamba huu utakuwa msimu wa nane mfululizo kwa timu hiyo kwenda bila ubingwa.
Taji la mwisho: Patrick Vieira akiwa ameshika Kombe la FA, waliloshinda mwaka 2005, hilo ndilo taji la mwisho la Arsenal.
Nyakati za Furaha: Arsene Wenger akisherekea taji lake la mwisho, katika picha nyingine Jens Lehman akishangilia na wachezaji wenzake.
Wakishinda taji ama la, Wenger anajitayarisha kupewa kiasi cha pauni milioni 70, kwa ajili ya kufufua zama za mafanikio za Arsenal.
Lakini Wenger anajipanga kuvutia vipaji Emirates, lakini wale watahitajika na klabu hiyo wanatakiwa kupima bahati zao na wale wachezaji walioitelekeza Arsenal tangui mwaka 2005, ni makombe mangapi wameongeza kwenye makabati yao.
ASHLEY COLE: Ameshinda mataji nane, Ligi Kuu ya England: 2010, Ligi ya Mabingwa Ulaya: 2012, Kombe la FA: 2007, 2009, 2010, 2012, Kombe la Ligi: 2007
THIERRY HENRY: Mataji saba (Yote akiwa Barcelona) La Liga: 2009, 2010, Kombe la Mfalme: 2009, Supercopa de Espana: 2009, Ligi ya Mabingwa Ulaya: 2009, UEFA Super Cup: 2009, Kombe la Dunia la Klabu: 2009
Wale wote walioitelekeza Arsenal au wale waliofunguliwa milango wamefanikiwa kushinda mataji 73, kati yao, hii ikiwa tangu siku ambayo Arsenal waliifunga Manchester United kwa penalti na kushinda Kombe la FA.
Watu kama kina Patrick Vieira, Ashley Cole, Thierry Henry na Cesc Fabregas waliitosa Arsenal na kuamua kusonga mbele na kutafuta mafaniko zaidi na tangu walipoondoka Arsenal walifanikiwa kubeba mataji kadhaa.
CESC FABREGAS: Mataji manne (akiwa Barcelona) Kombe la Mfalme: 2012, Supercopa de Espana: 2011, UEFA Super Cup: 2011, Klabu Bingwa ya Dunia: 2011
GAEL CLICHY: Mataji mawili (yote Manchester City) Ligi Kuu ya Arsenal: 2012, Ngao ya Jamii: 2012
SAMIR NASRI: Mataji mawili (Yote Man City), Ligi Kuu ya England: 2012, Ngao ya Jamii: 2012
SOL CAMPBELL: Taji Moja Kombe la FA: 2008 (Portsmouth)
ANTHONY STOKES: Mataji matatu: Ligi Kuu ya Scotland, Ligi Kuu: 2012 (Celtic) Kombe la Scotland: 2011 (Celtic) Championship: 2007 (Sunderland)
SEBASTIAN LARSSON: Taji moja: Kombe la Ligi: 2011 (Birmingham City)
LASSANA DIARRA: Mataji manne: Kombe la FA: 2008 (Portsmouth) La Liga: 2012 (Real Madrid) Kombe la Mfalme: 2011 (Real Madrid) Super Cup ya Hispania: 2012 (Real Madrid)
KOLO TOURE: Mataji matatu (yote na Manchester City): Kombe la FA: Ligi Kuu 2011: 2012 Ngao ya Jamii: 2012
PATRICK VIEIRA: Mataji nane: Serie A: 2006 (Juventus) Serie A: 2007, 2008, 2009, 2010 (Inter Milan) Super Cup ya Italia: 2006, 2008 (Inter Milan) na Kombe la FA: 2011 (Manchester City)
EMMANUEL ADEBAYOR Taji moja: Kombe la Mfalme: 2011 (Real Madrid)
JERMAINE PENNANT: Taji moja: Ngao ya Jamii: 2006 (Liverpool)
MATHIEU FLAMINI: Mataji mawili: Serie A: 2011 (AC Milan) Super Cup ya Italia: 2011 (AC Milan)
WENGINE:
Edu
Taji moja:
Kombe la Mfalme: 2008 (Valencia)
Jermaine Pennant
Taji Moja:
Ngao ya Jamii: 2006 (Liverpool)
Stephen O'Donnell
Mataji manne:
Ligi Kuu ya: 2008, 2011 akiwa (Bohemians na Shamrock Rovers)
Kombe la Setanta Sports: 2011 (Shamrock Rovers)
Kombe la FAI: 2008 (Bohemians)
Patrick Vieira
Mataji nane:
Serie A: 2006 (Juventus)
Serie A: 2007, 2008, 2009, 2010 (Inter Milan)
Supercoppa Italiana: 2006, 2008 (Inter Milan)
Kombe la FA: 2011 (Manchester City)
Frank Simek
Taji Moja:
Kombe la Ligi ya Soka: 2011 (Carlisle United)
Anthony Stokes
Mataji mawili:
Ligi Kuu ya Scotland: 2012 (Celtic)
Kombe la Scotland: 2011 (Celtic)
Lauren
Taji Moja:
Kombe la FA: 2008 (Portsmouth)
Sebastian Larsson
Taji Moja:
Kombe la Ligi: 2011 (Birmingham City)
Freddie Ljungberg
Taji Moja:
Kombe la Lamar Hunt U.S. Open: 2009 (Seattle Sounders)
Jose Antonio Reyes
Mataji manne:
La Liga: 2007 (Real Madrid)
Kombe la Ligi ya Ureno: 2009 (Benfica)
Europa League: 2010 (Atletico Madrid)
UEFA Super Cup: 2010 (Atletico Madrid)
Lassana Diarra
Mataji manne:
Kombe la: 2008 (Portsmouth)
La Liga: 2012 (Real Madrid)
Kombe la Mfalme: 2011 (Real Madrid)
Supercopa de Espana: 2012 (Real Madrid)
Mathieu Flamini
Mataji mawili:
Serie A: 2011 (AC Milan)
Supercoppa Italia: 2011 (AC Milan)
Alexander Hleb
Mataji Matano:
La Liga: 2009 (Barcelona)
Kombe la Mfalme: 2009 (Barcelona)
Ligi ya Mabingwa Ulaya: 2009 (Barcelona)
Kombe la Ligi: 2011 (Birmingham City)
Ligi Kuu ya Belarus: 2012 (BATE Borisov)
Gliberto Silva
Mataji mawili:
Ligi ya Super Ugiriki: 2010 (Panathinaikos)
Kombe la Soka Ugiriki: 2010 (Panathinaikos)
Emmanuel Adebayor
Taji moja:
Kombe la Mfalme: 2011 (Real Madrid)
Kolo Toure
Mataji matatu:
Kombe la FA: 2011 (Manchester City)
Ligi Kuu ya England: 2012 (Manchester City)
Ngao ya Jamii: 2012 (Manchester City)
Fran Merida
Taji Moja:
UEFA Super Cup: 2010 (Atletico Madrid)
Eduardo
Mataji Matano:
Ligi Kuu ya Ukraine: 2011, 2012 (Shakhtar Donetsk)
Kombe la Ukraine: 2011, 2012 (Shakhtar Donetsk)
Super Cup ya Ukraine: 2012 (Shakhtar Donetsk)
Emmanuel Eboue:
Mataji mawili:
Super Lig: 2012 (Galatasaray)
Super Kupa: 2012 (Galatasaray)
Na Robin van Persie pamoja na Alex Song msimu huu nao pia wanaweza kubeba mataji ikiwa ni msimu wao wa kwanza tu tangu waondoke Emirates.