
Thursday, February 28, 2013

Kikosi cha JKT Ruvu Na Prince Akbar JKT Ruvu ya Pwani, imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Toto Africans ya Mwanza katika mchezo...
MICHAEL RICHARD WAMBURA AMTANDIKA BAKORA YA MGONGO CHILLAH TENGA
Thursday, February 28, 2013
Tenga Na Waandishi Wetu IWAPO Tanzania itafungiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), au kutokea mgogoro wowote utakaoathiri s...
BOBAN NDANI MSAFARA WA SIMBA ANGOLA
Thursday, February 28, 2013
Simba na Libolo katika mechi ya kwanza Dar es Salaam, hapa wanaingia uwanjani Na Dina Ismail KIKOSI cha wachezaji 18 wa timu ya soka y...
TBL YAITILIA UBANI SIMBA IKAWANG'OE LIBOLO
Thursday, February 28, 2013
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Butallah (kushoto) akikabidhi vifaa kwa Msemaji wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga j...
KIM POULSEN KUSHIRIKI KILI MARATHON
Thursday, February 28, 2013
Kim Poulsen Na Michael Mukunza KOCHA Mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars), Kim Poulsen amethibitisha kushiriki mbio za Kilimanjaro Mara...
BECKHAM ALIVYOANZA KAZI PSG JANA...
Thursday, February 28, 2013
DAVID Beckham alithibitisha kwamba miguu yake ya kizee bado iko fiti, na wakati Zlatan Ibrahimovic akiendeleza kasi yake ya kufunga waka...
TEGETE ANAKOSA SANA, KAVUMBANGU HADI PENALTI INAOATA MBAWA!
Thursday, February 28, 2013
Tegete akirejea uwanjani kinyonge baada ya kukosa bao la wazi Na Mahmoud Zubeiry KATIKA mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu ya Vodacom T...
ENGLAND WATAKAVYOISHI KIFALME BRAZIL
Thursday, February 28, 2013
KIKOSI cha timu ya taifa ya England kimepanga kula maisha Rio de Janeiro wakati wa michuano ya Kombe la Dunia 2014, kwa kuweka kambi yak...
RONALDO ATAUNGANA TENA NA FERGUSON?
Thursday, February 28, 2013
SIR Alex Ferguson amemuita ‘hanunuliki’ na kocha huyo wa Manchester United atakuwa aliona kiwango cha Cristiano Ronaldo alipokuwa akiua ...
RUFAA YA SCHALKE KWA DROGBA YADUNDA
Thursday, February 28, 2013
UEFA imeitupilia mbali rufaa ya Schalke dhidi ya Didier Drogba kuichezea timu yake mpya, Galatasaray katika mechi ya sare ya 1-1 ya Ligi y...
MPINGA BODA BODA CUP YAANZA LEO
Thursday, February 28, 2013
Kamanda Mpinga akionyesha jezi za Mpinga Cup Na Princess Asia KIONGOZI Mkuu wa maandalizi ya Mashindano ya Mpinga Cup, ametangaza zawa...
BENITEZ APUMUA, CHELSEA YAICHAPA BORO 2-0
Thursday, February 28, 2013
Rafa Benitez was thrown a gentle lob and threw back a smile, a shrug and an honest answer. ‘Who scored the first goal?’ he was asked. ...
Subscribe to:
Posts (Atom)