• HABARI MPYA

        Friday, January 18, 2013

        WAPINZANI WA YANGA, 'TIMU TISHIO' AFRIKA KUSINI SASA KUTUA LEO DAR

        Klabu ya Black Leopard ya Afrika Kusini, iliyokuwa ifike jana nchini sasa inatarajiwa kufika leo, tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Yanga SC kesho Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa waratibu wa mechi hiyo, kampuni ya Prime Time Promotions ya Dar es Salaam. Pichani ni kipa namba wa timu hiyo, Mganda, Posnet Omony akiwa katika moja ya mechi za klabu hiyo 'tishio' katika Ligi ya Afrika Kusini.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: WAPINZANI WA YANGA, 'TIMU TISHIO' AFRIKA KUSINI SASA KUTUA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry