![]() |
Ngassa akishangilia na Haruna Moshi 'Boban kwenye benchi', huku wachezaji wengine wakimtazama kwa shauku |
![]() |
Beki wa Simba SC, Mussa Mudde akimdhibiti mshambuliaji wa Lyon |
![]() |
Juma Kaseja amepangua penalti ya Shamte Ally |
![]() |
Beki wa Lyon, Job Ibrahim akikimbilia mpira dhidi ya kiungo wa Simba SC, Ramadhani Chombo 'Redondo' |
![]() |
Job Ibrahim akijaribu kumkimbiza kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba kulia |
![]() |
Job akiwa amelala kuondosha mpira miguuni mwa Ngassa |
![]() |
Haruna Chanongo akiruka kwanja la beki wa Lyon na kufanikiwa kupiga krosi iliyounganishwa nyavuni na Ngassa kuwa bao la tatu |
![]() |
Mabeki wa Lyon wakimdhibiti kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba |
![]() |
Kiemba akipambana na mabeki wa Lyon |
![]() |
Ngassa akimtoka Job Ibrahim kufunga bao la pili leo |
![]() |
Redondo akifunga bao la kwanza |
![]() |
Haruna Chanongo akipasua msitu wa mabeki wa Lyon |
![]() |
Job akiwa amepitia mpira miguuni mwa Ngassa |
![]() |
Redondo akimshukuru Ngassa kwa pasi ya bao la kwanza la Simba |
![]() |
Mwinyi Kazimoto akichuana na kiungo wa Lyon |
![]() |
Kikosi cha Lyon leo |
![]() |
Kikosi cha Simba SC leo |