REAL YASAJILI KIPA LA SEVILLA KUZIBA PENGO LA CASILLAS
Jose Mourinho, kocha Real
KLABU ya Real Madrid imekamilisha usajili wa kipa Diego Lopez kutoka klabu ya Sevilla, zote za Hispania.
Mabingwa hao wa La Liga wamekuiwa wakihaha kusaka kipa mwingine tangu kuumia kwa mlinda mlango wao namba moja, Iker Casillas katika mechi ya Kombe la Mfalme dhidi ya Valencia.
Huku Nahodha wao huyo akitakiwa kuwa nje ya Uwanja kwa wiki 12 baada ya kufanyiwa upasuaji jana mchana, Los Blancos haijapoteza muda kumnasa mkongwe mwenye umri wa miaka 31, Lopez, ambaye alijiunga na klabu hiyo akiwa kinda.
Taarifa kutoka tovuti ya klabu hiyo imesema: "Real Madrid C.F. na Sevilla F.C. zimefikia makubaliano ya uhamisho wa Diego Lopez, ambaye atakaa katika klabu hadi mwishoni mwa msimu wa 2016/17."
Awali, Real Madrid ilihusishwa na mpango wa kumchukua kipa wa Bayer Leverkusen, Rene Adler azibe pengo la Casillas.
Lopez sasa atachuana na Antonio Adan kuwania namba kuelekea mchezo na Getafe mwishoni mwa wiki hii.
Eubank discharged from hospital
-
Chris Eubank Jr is discharged from hospital after he was admitted as a
precaution following his victory over Conor Benn on Saturday.
Little and Mariona up for UWCL awards
-
Kim Little has been nominated for Player of the Round, while Mariona
Caldentey scored a contender for Goal of the Week
Simba book final spot in CAF Confederation cup
-
Simba booked their spot in the final of the CAF Confederation Cup following
a goalless draw against Stellenbosch on Sunday afternoon. The host
continued ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...