// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MTOTO WA TMK NYAMLANI WA KWANZA KUCHUKUA FOMU URAIS TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MTOTO WA TMK NYAMLANI WA KWANZA KUCHUKUA FOMU URAIS TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, January 16, 2013

        MTOTO WA TMK NYAMLANI WA KWANZA KUCHUKUA FOMU URAIS TFF


        Makamu wa kwanza wa rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Jumanne Nyamlani akichukua fomu ya kugombea urais wa shirikisho hilo, kwenye ofisi za TFF, Ilala, Dar es Salaam mida hii kwa ajili ya uchaguzi utakaofanyika Februari 24, mwaka huu mjini Dar es Salaam. Anayekabidhi fomu kushoto ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce Kakwaya.

        Akiwa na rafiki zake waliomsindikiza kuchukua fomu
        Anahesabu fedha

        Makamu wa kwanza wa rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Jumanne Nyamlani akikabidhi fedha za malipo ya fomu ya kugombea urais wa shirikisho hilo, katika uchaguzi utakaofanyika Februari 24, mwaka huu mjini Dar es Salaam. Anayepokea kushoto ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce Kakwaya.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: MTOTO WA TMK NYAMLANI WA KWANZA KUCHUKUA FOMU URAIS TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry