![]() |
Manji akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Deo Lyatto |
![]() |
Manji akizungumza na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba |
![]() |
Manji akizungumza na mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Kitwana Manara 'Popat' |
![]() |
Manji akifurahia na Popat |
![]() |
Mwenyekiti wa Moro United, Rodgers Peter akirejesha fomu ya kugombea Ujumbe wa Bodi ya Ligi Kuu |
![]() |
Samuel Nyalla akirejesha fomu ya kugombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF Kanda ya Mwanza na Mara |
![]() |
Francis Ndulane akirejesha fomu ya kugombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Kanda ya Lindi na Mtwara |