Aden Rage kulia akiwa na Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Hassan Daalal |
Na Dina Ismail
KAMA ya
Utendaji ya Simba imepitia na kuidhinisha majina ya Wajumbe wa Kamati
mbalimbali za klabu lengo likiwa kuiboresha klabu na pia kujiandaa na mzunguko
wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na michuano ya kimataifa ambayo Simba inashiriki
mwaka huu.
Taarifa ya Mwenyekiti
wa Simba, Alhaj Ismail Aden Rage, inawapongeza wote walioteuliwa kwa ajili ya
kazi hii na kuwatakia mafanikio mema katika kuijenga klabu ili iwe ya kisasa
kama walivyo wajumbe wenyewe.
Uteuzi huu
wa wajumbe unaanza mara moja na wenyeviti wa kamati hizo wamepewa nguvu ya
kuitisha vikao vya kamati zao mapema iwezekanavyo.
Aidha,
taarifa hiyo imesema kwamba timu ya Simba inarejea kesho kutoka Oman saa 10
jioni na itaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom
dhidi ya African Lyon Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
KAMATI MPYA
ZA SIMBA SC:
KAMATI YA
UFUNDI
1. DAMIAN MANEMBE-MWENYEKITI
2. IBRAHIM MASOUD-MAKAMU MWENYEKITI
3. CRESCENCIUS MAGORI
4. KHALID ABEID
5. SAID TULLY
6. DR. KATEGILE
7. ZAMOYONI MOGELA
8. JOHN WILLIAM (DEL PIERO)
9. YUSUFU MACHO
10. JEFF LEA
11. BITA JOHN
12. SHABAAN BARAZA
KAMATI YA
FEDHA
1. GEOFREY IRICK NYANGE (MWENYEKITI)
2. RAHMA AL KHALOOS-MAKAMU MWENYEKITI
3. FRANCIS WAYA
4. ZITTO KABWE
5. JUMA NKAMIA
6. RUGE MUTAHABA
KAMATI YA
MASHINDANO
1. SWEDY MKWABI-MWENYEKITI
2. SAID PAMBA-MAKAMU MWENYEKITI
3. SELEMANI ZEDDY. (MB)
4. JERRY YAMBI
5. IDDI KAJUNA
6. CHAUREMBO
7. GERLAD LUKUMAY
8. HABBIB NASSA
9. BUNDALA KABULWA
10. CHARLES HAMKAH
11. SAID RUBEYA
12. ABDULFATAH SALUM (SAPHIRE)
13. HATIBU MWINYI (BUSTA)
14. ABDUL
MSHANGAMA
15. HUMPHREY ZEBEDAYO
16. MAJALIWA MBASSA
17. SULEIMAN ZAKAZAKA
18. KESI MOHAMED RASHID
19. MOHAMED ISSA MBENA
KAMATI YA
PROGRAMU ZA VIJANA
1. IBARHIM MASOUD –MWENYEKITI
2. RUGE MUTAHABA-MAKAMU MWENYEKITI
3. JOSEPH ITANG’ARE-MJUMBE/MLEZI
4. WILFRED KIDAU
5. MOHAMED ABDALLAH
6. SAID TULLY
7. CANISIUS MASOMBOLA
8. HAMIS MRISHO
9. DAMAS NDUMBARO
10. TALIB HILAL