Bondia Fadhili Awadhi 'Mnyama Chui' kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na Yohana Matayo 'Tembo Mtoto' wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Texas, Manzese, Dar es Salaam. Awadhi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhili Awadhi 'Mnyama Chui' kulia akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na Yohana Matayo 'Tembo Mtoto' wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Texas Mnzese Dar es salaam Awadhi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...