• HABARI MPYA

        Monday, January 07, 2013

        CHEKI BABU LIEWIG ANAVYOMPA DARASA JULIO...

        Kocha Mkuu wa Simba SC, Mfaransa Patrick Liewig amekuwa akimuelekeza mambo Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo baada ya mechi ya jana dhidi ya Bandari ya Zanzibar, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Wawili hao wametokea kuelewana mno na kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa. Timu hizo zilitoka 1-1.




        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: CHEKI BABU LIEWIG ANAVYOMPA DARASA JULIO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry