// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ASIYERUDISHA FOMU TFF LEO IMEKULA KWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ASIYERUDISHA FOMU TFF LEO IMEKULA KWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, January 18, 2013

        ASIYERUDISHA FOMU TFF LEO IMEKULA KWAKE

        Leo ndiyo mwisho wa wagombea wanaotaka nafasi za uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kurudisha fomu. Wagombea wanatarajiwa kuanza kumiminika kwenye ofisi za TFF, zilizopo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi ya leo hadi saa 10:00 jioni zoezi hilo litakapofungwa. Pichani ni mmoja wa wagombea wanaotarajiwa kurejesha fomu leo, Athumani Jumanne Nyamlani anayewania Urais, nafasi inayoachwa wazi na rais wa sasa, Leodegar Chillah Tenga.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: ASIYERUDISHA FOMU TFF LEO IMEKULA KWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry