// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ZANZIBAR NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO KAMPALA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ZANZIBAR NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO KAMPALA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 03, 2012

    ZANZIBAR NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO KAMPALA

    Mfungaji wa penalti ya mwisho na ya ushindi ya Zanzibar, Abdallah Othman akikimbia kushangiloia baada ya kumaliza mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Burundi kwenye Uwanja wa Lugogo mjini Kampala, Uganda, Zanzibar ilishinda kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.

    Ndikumana chini, shughuli ya Issa Othman Ally kushoto

    Aggrey Moris akimdhibiti mshambuliaji wa Burundi

    Suleiman Kassim Selembe kulia anakokota ngoma

    Abdulaghan Gullam akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Burundi

    Aggrey Morris anapanda kusaidia mashambulizi baada ya kuokoa

    Selembe anapasua katikati ya watu

    Issa Othman Ally anaondoka na mpira mbele ya wachezaji wa Burundi

    Jaku Juma akipambana na beki wa Burundi

    Ndikumana akijuta baada ya kukosa penalti

    Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Ladislaus Komba kulia akimpongeza kocha wa Zanzibar

    Wachezaji wa Zanzibar wakimpongeza Abdallah Othman

    Wachezaji wa Zanzibar na baadhi ya viongozi wakimpongeza Abdallah Othman katikati aliyesujudu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ZANZIBAR NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO KAMPALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top