Khamis Mcha 'Vialli' akishangilia baada ya kuifungia Zanzibar bao la kwanza |
Adeyom Saleh Ahmed akimtoka beki wa Kenya, Joackins Atudo |
Nadir Cannavaro ameruka na kipa wa Kenya |
Mcha anapasua ukuta wa Kenya |
Mcha Vialli kamlamba mtu chenga, kamuacha chini anaambaa |
Suleiman Kassim 'Selembe' akipasua katikati ya msitu wa wachezaji wa Kenya |
Kocha wa makipa wa Zanzibar, Farouk Ramadhan akimpa maelekezo kabla ya mechi kipa Mwadini Ally |
Kikosi cha Zanzibar leo |
Kikosi cha Kenya leo |
Wachezaji wa Zanzibar wakiwa wametahayari baada ya kufungwa bao la pili la kusawazisha |
Mike Barasa wa pili kutoka kulia akishangilia bao lake la pili |
Zanzibar wakisujudu baada ya kufunga bao la kwanza |
Kipa kaenda kulia, penalti ya Aggrey imetinga kushoto |
Aggrey akiwaongoza wenzake baada ya kufunga bao la pili |
Jaku Juma akipambana |
Adeyom akimtoka beki wa Kenya |
Adeyom anajaribu |
Jaku Juma akipambana |
Aggrey ameruka na mtu |