// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ZANTEL YAMWAGA MPUNGA MKUTANO MKUU TASWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ZANTEL YAMWAGA MPUNGA MKUTANO MKUU TASWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, December 13, 2012

    ZANTEL YAMWAGA MPUNGA MKUTANO MKUU TASWA

    Mkurugenzi wa Mahusiano wa Zantel, Ahmed Seif Mohamed (kushoto ), akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TASWA), Juma Abbas Pinto, mfano wa hundi ya thamani ya Sh. Milioni 6 na ushei, kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa chama hicho, utakaofanyika Desemba 21 na 22, mwaka huu Bagamoyo mkoani Pwani. Katikati ni Katibu Msaidizi wa TASWA, George John.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ZANTEL YAMWAGA MPUNGA MKUTANO MKUU TASWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top