BEKI wa Zamalek ya Misri, Saied Yousef ametimkia Dhufar ya Oman kwa mkopo wa miezi sita, BIN ZUBEIRY imeipata hiyo kutoka superrsport.com. Saied alijiunga na Zamalek msimu uliopita akitokea Al Masry ya Misri pia na aling'ara akiwa na White Knights. "Tumekubali kumruhusu Saied aondoke, na itakuwa nzuri kwake na kwa klabu, ataendelea kulipwa na klabu” Alisema Mjumbe wa Bodi ya Zamalek, Ibrahim Yousef alipozungumza na supersport.com. "Hajer ya KSA inamtaka beki wetu mwingine Hamada Tolba, lakini tumekataa ofa hiyo” alisema. Yousef alisema Kocha Mkuu wa timu, Jorvan Vieira anataka kuwatema wachezaji wote wa kigeni kabla ya msimu ujao. Zamalek ina wageni watatu, ambao ni Abdoulaye Cisse, Razak Omotoyossi na Alexis Enam.
Kayla Rendell signs for United Women
-
The 23-year-old goalkeeper joins from Southampton, becoming our women's
team's first signing of the winter window.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...