![]() |
Winga wa Yanga, Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa Tusker katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 1-0. |
![]() |
Kikosi cha Yanga kilichoanza leo |
![]() |
Shabiki mpya wa Yanga, aliyehamia kutoka Simba SC hivi karibuni akiwa mwenye huzuni baada ya timu yake mpya kulala 1-0 |
![]() |
Kikosi cha Tusker kilichoipiga Yanga leo |
![]() |
Manahodha, Nadir Haroub 'Cannavaro' wa Yanga kushoto na Joseph Shikokoti wa Tusker wakiziongoza timu zao kuingia uwanjani |
![]() |
Hapa ni kabla ya maumivu |
![]() |
Nizar Khalfan kushoto akimtoka beki wa Tusker |
![]() |
Cannavaro akipambana |
![]() |
David Luhende akiwatoka mabeki wa Tusker |
![]() |
Nurdin Bakari akijaribu kupiga krosi mbele ya beki wa Tusker |
![]() |
Hamisi Kiiza kushoto |
![]() |
Beki wa Tusker, akimdhibiti chipukizi wa Yanga, George Banda |
![]() |
Banda kulia anamtoka beki wa Tusker |
![]() |
Msuva anamkimbiza mtu |
![]() |
Said Bahanuzi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tusker |
![]() |
Kiiza na beki wa Tusker |
![]() |
Bahanuzi akikokota mpira dhidi ya mabeki wa Tusker |
![]() |
Banda akipambana |
![]() |
Mpira wa juu |
![]() |
Mfungaji wa bao la Tusker, Dunga akishangilia baada ya kufunga |