// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI AZAM WAMTEMBELEA RAIS DRC NYUMBANI KWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI AZAM WAMTEMBELEA RAIS DRC NYUMBANI KWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, December 15, 2012

        WACHEZAJI AZAM WAMTEMBELEA RAIS DRC NYUMBANI KWAKE

        Wachezaji wa Azam FC, wakiwa katika picha ya pamoja na rais wa Shirikisho la Soka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), FECOFA, Omar ‘Constant’ Suleiman walipomtembelea nyumbani kwake, Mtaa wa Boulevard Juni 30 mjini Kinshasa, DRC baada ya mechi yao ya Kundi B ya Kombe la Hisani dhidi ya Dragons, iliyoisha kwa sare ya 1-1.

        Rais wa FECOFA katikati akizungumza na viongozi wa Azam, kutoka Jaffar Iddi na Mapwisa na kushoto Nassor Idrisa na 
        Nipo na Mratibu wa mashindano haya, Bob Makangalele

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: WACHEZAJI AZAM WAMTEMBELEA RAIS DRC NYUMBANI KWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry