Wachezaji wa Zanzibar wakishangilia
baada ya kuifunga Bara kwa penalty
|
Robert ssentongo akimtoka Mieno |
Mshambuliaji wa Bara, John Bocco
akiwatoka mabeki wa Zanzibar katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa
michuano ya CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole Kampala leo.
Zanzibar ilishinda kwa penalti 6-5, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90, Bara wakitangulia kupata bao kupitia kwa
Mwinyi Kazimoto dakika ya 10 kabla ya Abdallah Othman Ali kuisawazishia
Zanzibar dakika ya 85.
|
Beki wa Zanzibar, Nadir Haroub ‘Cannavaro’
akimdhibiti mshambuliaji wa Zanzibar, John Bocco
|
Kiungo wa Bara, Athumani Iddi ‘Chuji’
akimtoka beki wa Zanzibar, Sabri Ally Makame
|
Kocha Mkuu wa Zanzibar, Salum Nassor Bausi akiwa amebebwa na wachezaji wake kwa furaha |
Wachezaji wa Zanzibar wakishangilia baada ya mechi |