Kaseja amedaka, huku Yondan akiwa tayari kumsaidia |
Manahidha wakisalimiana kabla ya mechi, Juma Kaseja wa Bara kulia na Haruna Niyonzima wa Rwanda kushoto |
Kikosi cha Rwanda leo |
Kikosi cha Bara leo |
Watanzania waliokuja kuisapoti timu hapa |
Shomary Kapombe akimdhibiti Dadi Birori |
Athumani Iddi 'Chuji' akiruka juu kulia kuokoa |
Amri Kiemba anamkokota mchezaji wa Rwanda |
Kocha Milutin Sredojevic 'Micho' |
John Bocco akiwashughulisha mabeki wa Rwanda |
Refa anaonyesha kati, baada ya Kiemba anayekimbia nyuma yake kufunga bao la kwanza |
Bao la Kiemba |
Mwinyi Kazimoto kulia akimburuza mchezaji wa Rwanda |
Ulinzi mkali langoni mwa Rwanda, lakini bado mbili zilipenya |
Bocco anasababisha |
Jean Claude Ndoli wa Rwanda aliyeruka hewani kudaka moja ya michomo ya hatari iliyoelekezwa langoni mwake |
Mwinyi huyooo |