// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NI KENYA NA ZANZIBAR NUSU FAINALI TUSKER CHALLENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NI KENYA NA ZANZIBAR NUSU FAINALI TUSKER CHALLENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, December 04, 2012

    NI KENYA NA ZANZIBAR NUSU FAINALI TUSKER CHALLENGE

    Abdallah Juma wa Kenya, akimdhibiti Rodrick Gonani wa Malawi katika Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, mjini Kampala, Uganda. Kenya ilishinda 1-0, bao pekee la Mike Barasa dakika ya 56 na sasa Harambee Stars itamenyana na Zanzibar katika Nusu Fainali keshokutwa.

    Mike Barasa akipambana na beki wa Malawi
    Mike Barasa akipambana na mabeki wa Malawi 

    Kipa Duncan Ochieng akidaka chini ya mabeki wake

    Gonani akipambana

    Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye wakati anaangalia mechi ya Kenya na malawi

    Kocha wa Uganda, Bobby Williamson akiangalia mechi ya Kenya na Malawi

    Kocha wa Tanzania Bara, Kim Poulsen akizungumza na Kocha Msaidizi wa Zanzibar, Hafidh Muhiddin kulia

    Kenya wakishangilia ushindi wao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NI KENYA NA ZANZIBAR NUSU FAINALI TUSKER CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top