‘Raia mwema’
mmoja jioni hii amedakwa na Polisi na kupelekwa mbele, baada ya kuzipiga na
mwanamke Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati mchezo wa kirafiki kati ya
Simba SC na Tusker ukiendelea. Wote walichaniana nguo katika ugomvi huo kabla
ya kuamuliwa na raia wenzao, ndipo baadaye askari akaja kumkamata mwanaume
kwanza na kabla ya kumuunganisha mwanamke na kuondoka nao mbele. Cheki mchezo
kamili ulivyokuwa…
Zinapigwa, jamaa anaamulia |
Ndindo |
Jamaa alijitahidi sana kuamulia tangu wanaanza tu |
Pambano linaendela |
Refa kazi alikuwa nayo |
Marefa walipoongezeka, ndipo pambano lilisimama |
Cheki kazi hiyo |
Hadi kuchaniana nguo |
Kaazi kweli kweli |
Afande kamdaka mshkaji, anaondoka naye... |
Kamuunganisha na binti waliyekuwa wanagombana naye...mbele kwa mbele hiyo |
Binti bado anampa maneno tu mshkaji mbele ya askari... |