// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KILI STARS ILIPOKWAA KISIKI LEO NAMBOOLE, NI HUZUNI TUPU HADI HANS POPPE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KILI STARS ILIPOKWAA KISIKI LEO NAMBOOLE, NI HUZUNI TUPU HADI HANS POPPE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, December 06, 2012

    KILI STARS ILIPOKWAA KISIKI LEO NAMBOOLE, NI HUZUNI TUPU HADI HANS POPPE

    Wachezaji wa Bara wakijadiliana baada ya kufungwa na Uganda katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge usiku wa leo kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala, Uganda. Uganda walishinda 3-0 na kutinga fainali, ambako watamenyana na Kenya Jumamosi.  

    SURA ZA HUZUNI; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kulia akifuatilia mchezo kati ya Bara na Uganda. Kushoto wake ni Waandishi wa Habari wa Tanzania, Somoe Ng'itu juu na Zaituni Kibwana pembe ni kabisa Z.H.

    Mwinyi Kazimoto akiwa amezibiwa njia kwa staili hadi ya kulala kama unavyoona hapo

    Cheki ulinzi huo langoni mwa Uganda, Ngassa na Bocco peke yao wangefanya nini

    Amri Kiemba anakokota ngoma

    John Bocco akiwa amezibiwa njia

    John Bocco leo aliwekewa ulinzi mkali, kama unavyona hapa

    Mrisho Ngassa akidhibitiwa na beki wa Uganda

    Mwinyi Kazimoto akijaribu kufumua shuti mbele ya beki wa Uganda

    Kipa kadaka, Ngassa na Bocco leo hoi

    Kocha wa Stars, Kim Poulsen baada ya mechi

    Kapteni Kaseja haamini macho yake

    Emmanuel Okwi akifuatilia mchezo benchi baada ya kuumia na kutoka

    Bocco mawindoni, lakini ulinzi wa kutosha ulimynima mabao leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KILI STARS ILIPOKWAA KISIKI LEO NAMBOOLE, NI HUZUNI TUPU HADI HANS POPPE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top