MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba Sc wameanza mazoezi ya ufukweni chini ya kocha, Jamhuri Kihwelo 'Julio' Ofisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amesema kwamba,
Julio
Julio atakinoa kikosi hicho kinachojiandaa na mzunguko wa pili wa ligi hiyo, huku wakisubiri ujio wa kocha wao mpya, Mfaransa,Patrick Liewang anayetarajiwa kutua nchini Desemba 27. Amsema wachezaji walioanza mazoezi ni wale wasio kwenye kikosi cha Taifa Stars ambacho kipo kambini kujiandaa na mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Zambia 'Chipolopolo' utakaopigwa Desemba 22 kwenye dimba la Taifa. "Pia wachezaji ambao hawapo ni wale wa kigeni ambao wapo makwao,"alisema
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...