![]() |
Gaudence
Mwaikimba, akimshukuru Kipre Tchetche kwa pasi ya bao katika mchezo wa leo wa
Kombe la Hisani kwenye Uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa, DRC. Azam ilishinda
2-1.
|
![]() |
Gau na Uhuru wakisababisha kwenye lango la Real |
![]() |
Kocha Stewart akifuatilia mchezo |
![]() |
Daktari Paulo Gomez anamtibu Waziri Salum, kulia ni Uhuru akimsaidia |
![]() |
Gomez anamtoa Gau baada ya kuumizwa |
![]() |
Kipre Tchetche anagulia maumivu,. Hakurudi uwanjani |
![]() |
Gomez anamtibu Humphrey Mieno, hakurudi uwanjani pia |
![]() |
Kutoka kuolia Abdi Kassim, Uhuru Suleiman na Zahor Pazi wakiwa kwenye benchi |
![]() |
Kikosi cha Azam leo |
![]() |
Kipre Balou anatafuta njia |
![]() |
Mieno amewekwa chini kwenye eneo la hatari, lakini hii refa alimezea |
![]() |
Himid Mao kamuacha mtu chini, anafanya mwendo |
![]() |
Kipre Tcheche balaa, cheki anavyopaa |
![]() |
Kipre Tchetche ni noma |
![]() |
Seif Abdallah anamuacha mtu |
![]() |
Nahodha Jabir Aziz akimpongeza kijana wake Seif kwa kupiga bao la pili |