// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHICHI MAWE NA NASSIB THE BEST KUMALIZA UBISHI PTA JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHICHI MAWE NA NASSIB THE BEST KUMALIZA UBISHI PTA JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 09, 2012

    CHICHI MAWE NA NASSIB THE BEST KUMALIZA UBISHI PTA JUMAPILI

    Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipimwa Afya na Dkt, Kalaga wakati wa maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mpambano wake na Saidi Mundi wa Tanga wa pili kulia wengi kulia ni Promota wa mpambano huo Mohamed Bawazir na wa pili Kushoto ni Mratibu wa Mpambano huo Paul kunambi picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

    Promota ya mpambano wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwa na baazi ya mabondia
    Baazi ya mashabiki wakishangilia wakati wa upimaji uzito wa mabondia watakaopambana katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya 9 desemba

    Bondia Fransic Miyayusho akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri Nassibu Ramadhani kushoto mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika kesho 9 desemba katika ukumbi wa PTA Sabasaba picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

    Bondia Nassibu Ramadhani kushoto akitunishina Msuri na bondia Fransic Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa 9 Desemba Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

    Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake Said Mundi kushoto mpambano utakaofanyika Desemba 9 Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

    Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

    Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CHICHI MAWE NA NASSIB THE BEST KUMALIZA UBISHI PTA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top