Wachezaji wanaingia ndani |
Daktari wa Azam, Mjerumani Gomiz akiingia uwanja waq ndege |
Kutoka kulia Zahor Pazi, Uhuru na Himid |
Kutoka kulia Abubakar Mapwisa, Nassor na Abdi Kassim 'Babbi' |
Msemaji wa Azam, Jaffar Iddi kulia katikati kipa wa zamani wa Simba na Yanga, Abdulamalik Nemes na Ofisa wa Azam FC, Jemedari Said nje ya uwanja wa Ndege |