• HABARI MPYA

        Sunday, November 04, 2012

        YANGA B YAWAFUMUA AZAM AKADEMI 2-0 TAIFA MIDA HII

        Yanga B imewafunga Azam B, maarufu kama Azam Academy mabao 2-0 katika mchezo wa utangulizi, kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu za wakubwa wa klabu hizo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mabao ya Yanga B yamefungwa na Joseph Banda na Claver Charles kipindi cha kwanza.    Pichani ni Joseph Banda kulia akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la pili, wanaomfuatia ni Notikel Masasi na Zuberi Amiri kushoto. 

        Banda akitimua mbio kushangilia baada ya kufunga

        Banda baada ya kufunga

        Kipa wa Yanga, Yussuf Mohamed akidaka mbel.e ya mshambuliaji wa Azam 

        Masasi akimtoka beki wa Azam

        Mwenyekiti  wa Chama cha Soka Kagera (KRFA), Jamal Malinzi kushoto akiwa na Mjumbe wa chama hicho, Pelegrenius Rutahyuga wakifuatilia mechi hiyo 

        Kipute cha vijana

        Vijana wakionyesha kazi

        Masasi akitafuta mbinu za kumtoka Hassan Mgaya kulia

        Vijana wakionyeshana ufundi

        Hassan Mgaya akiondoka na mpira mbele ya Masasi

        Mshambuliaji wa Azam akiambaa na mpira

        Mshambuliaji wa Azam akiambaa na mpira

        Mgaya akiondoka na mpira mbele ya  beki wa Yanga

        Hatari kwenye lango la Yanga

        Kipa wa Azam akiwa amedaka mbele ya mshambuliaji wa Yanga

        Hatari kwenye lango la Azam

        Vijana wakigombea mpira

        Cheki kazi hiyo

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: YANGA B YAWAFUMUA AZAM AKADEMI 2-0 TAIFA MIDA HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry