// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SERENGETI BOYS WAKIKUSANYA SUMU ZA KUULIA WAKONGO JIONI HII TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SERENGETI BOYS WAKIKUSANYA SUMU ZA KUULIA WAKONGO JIONI HII TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 15, 2012

    SERENGETI BOYS WAKIKUSANYA SUMU ZA KUULIA WAKONGO JIONI HII TAIFA

    Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakifanya mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii kujiandaa na mchezo dhidi ya Kongo Brazzaville, Jumapili kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika nchini Morocco mwakani.

    Kocha wa makipa wa Serengeti Boys, Manyika Peter akiwanoa vijana wake 

    Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Jacob Michelsen akiwaelekeza vijana wake

    Makipa wakiranya mazoezi

    Makipa

    Julio akiwaongoza vijana wake

    Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Jacob Michelsen akiwaelekeza kwa mifano vijana wake

    Julio akiwaongoza kwa mifano vijana wake

    Darasa, makocha wakiwapa mawaidha vijana

    Kocha Msaidizi wa Serengeti Boys, Jamhuru Kihwelo ‘Julio’ akijiandaa kuingia uwanjani kuwanoa vijana

    Dk Nassor Matuzya akimtibu jeraha mchezaji wa Serengeti Boys, Nizar Criston

    Vijana mazoezini

    Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakiomba dua kabla ya kuanza mazoezi yao Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii kujiandaa na mchezo dhidi ya Kongo Brazzaville, Jumapili kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika nchini Morocco mwakani.

    Vijana mazoezini

    Julio akishuhudia vijana wake wanavyopitisha mipira kwenye njia zake

    Vijana mazoezini, Michelsen kulia

    Kocha wa makipa wa Serengeti Boys, Manyika Peter akiwanoa vijana wake 

    Kipa wa Serengeti Boys, Peter Manyika, mtoto wa kocha wa makipa wa timu hiyo, Manyika Peter akidaka kwa uhodari

    Kipa wa Serengeti Juma Hamadi akidaka kwa umahiri

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SERENGETI BOYS WAKIKUSANYA SUMU ZA KUULIA WAKONGO JIONI HII TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top