// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PETER MANYIKA, MTOTO WA NYOKA ANAYETARAJIWA KUIBEBA TANZANIA LANGONI JUMAPILI TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PETER MANYIKA, MTOTO WA NYOKA ANAYETARAJIWA KUIBEBA TANZANIA LANGONI JUMAPILI TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 16, 2012

    PETER MANYIKA, MTOTO WA NYOKA ANAYETARAJIWA KUIBEBA TANZANIA LANGONI JUMAPILI TAIFA

    Huyu anaitwa Peter Manyika Peter, ni kipa namba wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, ambaye anatarajiwa kudaka keshokutwa katika mechi dhidi ya Kongo Brazzaville, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani Morocco. Ni mtoto wa kipa wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Manyika Peter aliyewika klabu ya Yanga, ambaye kwa sasa ni kocha wa makipa wa Serengeti Boys. Dogo anadaka vizuri sana na bila shaka ataibeba Tanzania katika mtihani huu. anayetaka kuthibitisha uwezo wake, asikose Jumapili Taifa.





    Baba wa Peter Manyika, Manyika Peter 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: PETER MANYIKA, MTOTO WA NYOKA ANAYETARAJIWA KUIBEBA TANZANIA LANGONI JUMAPILI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top