// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MA-ALHAJ YUSSUF NA OMAR BAKHRESA WALIVYOWASILI KUTOKA MAKKA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MA-ALHAJ YUSSUF NA OMAR BAKHRESA WALIVYOWASILI KUTOKA MAKKA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, November 12, 2012

    MA-ALHAJ YUSSUF NA OMAR BAKHRESA WALIVYOWASILI KUTOKA MAKKA LEO

    Wakala wa wachezaji, anayetambuliwa na Shirikishon la Soka la Kimataifa (FIFA), Alhaj Yussuf Said Salim Awadh Bakhresa akiwasili Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam jioni hii kwa ndege ya shirika la ndege la Emirates kutoka Makka, Saudi Arabia alipokwenda kufanya ibada ya Hijja. Yussuf amechelewa kurudi kwa sababu baada ya ibada ya Hijja, alipitia Dubai.

    Kushoto ni kaka yake Yussuf, Alhaj Omar Bakhresa

    Alhaj Yussuf akilakiwa na ndugu na jamaa





    Yussuf akiwa na kaka yake Omar kushoto

    Seif Ahmad Magari kwa mbali akishuhudia Alhaj Yussuf na ndugu yake Omar wakirejea kutoka Hijja

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MA-ALHAJ YUSSUF NA OMAR BAKHRESA WALIVYOWASILI KUTOKA MAKKA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top