Kocha wa
timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mdenmark Kim Polusen (kulia)
akishuhudia kwa makini mchezo wa Kundi A, kati ya Uganda na Ethiopia, Kombe la
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Kagame Uwanja wa Mandela, Namboole,
Kampala, Uganda. Wengine kushoto kwake ni Michael Mukunza wa Executive
Solutions, Waratibu wa udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager kwa Stars na Kocha
Msaidizi, Sylvester Marsh.
|