// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HARAMBEE WAWASILI MWANZA, STARS WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO KIRUMBA KABLA YA MECHI KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HARAMBEE WAWASILI MWANZA, STARS WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO KIRUMBA KABLA YA MECHI KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, November 13, 2012

    HARAMBEE WAWASILI MWANZA, STARS WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO KIRUMBA KABLA YA MECHI KESHO

     Baadhi ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya pambano lao la kirafiki dhidi ya Taifa Stars.mchezo utakao chezwa jimatano katia uwanja wa ccm kirumba mwanza

     Baadhi ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya pambano lao la kirafiki dhidi ya Taifa Stars.mchezo utakao chezwa jimatano katia uwanja wa ccm kirumba mwanza

    Baadhi ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika hotel ya G&G Jijini Mwanza walikopangiwa ambapo timu hiyo itajipima nguvu na Taifa Stars kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika mchezo wa kupimana nguvu .


     Baadhi ya wachezaji wa Harambee Stars wakichangamkia juisi baada ya kuwasili katika hotel ya G&G Jijini Mwanza jana. (Picha zote na George Ramadhan

    Golikipa na Nahodha wa Taifa Stars Juma Kaseja akijifua na kipa mwenzake wa Taifa Stars, Deogratius Munisi (Dida) kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika matayarisho ya mchezo wao na Harambee  ya kenya
     

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akimpa maelekezo Mbwana Samatta wakati wa mazoezi ya timu hiyo juzi kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.katika mazoezi

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akitoa maelekezo kwa wachezaji John Boko (kulia) na Amri Kiemba wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HARAMBEE WAWASILI MWANZA, STARS WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO KIRUMBA KABLA YA MECHI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top