Wachezaji na wadau |
Kutoka kulia Kocha Mkuu wa Serengeti Jacob Michelsen, Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo na Kamishna Msaidizi wa Polisi, Jamal Rwambow |
Nassor bin Slum akizungumza na mchezaji Hussein Twaha |
Kutoka kulia Abdallah Bin Kleb, Tenga, Bin Slum na Jaffar Iddi Maganga |
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Serengeti Boys, Kassim Dewji akizungumza kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Tenga |
Angetile na wachezaji |
Wadau |
Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana, Ahmad 'Msafiri' Mgoyi akiwa na mdau Seyoung Jeong kutoka Korea |
Salim Abdallah kulia akiwa na Bin Kleb na Beda Msimbe |
Bin Slum |
Kushoto ni Nicky akiwa na Soyoung |
Salim akizungumza na CEO wa JB Belmonte, Justus Buguma kushoto |
Mwenyekiti wa Azam FC, Said Mohamed akizungumza kuwapa morali vijana |
Mzee Said akisikiliza kwa makini maneno ya vijana |
Hussein Twaha akihutubia. hotuba yake ilisisimua sana. Kulia ni Nahodha, Miraj Adam |
Mohamed Hussein kushoto akiwa na Farid Mussa |
Bin Kleb na Salim |
Julio na Michelsen |
Hussein Twaha kulia na Peter Manyika |
Julio alitoa hotuba iliyosisimua pia |
Evans Aveva kulia na Said Tuliy kushoto |