// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BIN KLEB AWAFARIJI MPIRA PESA KUFUTIWA UANACHAMA SIMBA, AWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BIN KLEB AWAFARIJI MPIRA PESA KUFUTIWA UANACHAMA SIMBA, AWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 17, 2012

    BIN KLEB AWAFARIJI MPIRA PESA KUFUTIWA UANACHAMA SIMBA, AWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO

    Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Abdallah Ahmad Bin Kleb amewafariji wanachama wa Simba wa tawi Mpira Pesa waliofutiwa uanachama kwa kuwanunulia tiketi za kwenda kuangalia mechi ya kesho ya Serengeti Boys na Kongo Brazzaville, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Pichani Bin Kleb akipokea tiketi hizo baada ya kuzilipia.    

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BIN KLEB AWAFARIJI MPIRA PESA KUFUTIWA UANACHAMA SIMBA, AWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top