Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mdenmark, Kim Poulsen akimuelekeza jambo kuhusu mechi hiyo Kocha wa timu za vijana, Jacob Michelsen kulia |
Kim na Jacob wakifuatilia mechi |
Meneja wa Taifa Stars, Leopold Tasso Mukebezi kushoto akiwa na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba |
Kocha wa timu za vijana wa Azam, Vivek Nagul akinukuu mambo muhimu kuhusu mchezo huo, na baada ya hapo anakutana na Kocha Mkuu, Stewart kumpa ripoti ili mapungufu yafanyiwe kazi |
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Coastal kulia |
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Wakili Imani Madega alikuwepo Chamazi leo |
Makocha wa Yanga, Ernie Brandts kulia na Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro walikuwepo kuifanyia ushushushu Azam Chamazi leo |
Bado Yanga; Gaudence akishangilia bao lake, ambalo ni tamu kwa kweli |
Hajji Nuhu na Gau Mwaikimba |
Gau baada hya kufunga |
Kama yupo mtu leo alikuwa anatia huruma, basi ni M kurugenzi wa Ufundi wa Coastal, Nassor Bin Slum...hapa anatuliza mawazo kwa sigara yake |
Bosi leo alikuwa anatia huruma |
Kama vile amtukane BIN ZUBEIRY baada ya kumshitukia anampiga picha...lakini busara ikamzuia |
Samir Hajji Nuhu anaambaa kulia |
Kipre Balou anamtoka Othman Tamim |
Kipre Tcheche anamtoka Juma Jabu |
Daniel Lyanga kulia na Said Mourad kushoto |
Lyanga na Mourad |
Balou na Othman |
Tcheche na Jabu kulia |
Mwadini Ali akiwa amedaka moja ya michomo iliyoelekezwa langoni mwake leo |
Cheki pande la Salum Abubakr linavyopasua msitu kuelekea kwa Mwaikimba (hayupo pichani) |
Stewart kazini |
Mwaikimba katikati ya msitu wa mabeki wa Coastal |