// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC WAMTAKA UHURU ROBINHO WA MSIMBAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC WAMTAKA UHURU ROBINHO WA MSIMBAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 16, 2012

    AZAM FC WAMTAKA UHURU ROBINHO WA MSIMBAZI

    Kiungo wa Simba SC, Uhuru Suleiman Mwambungu 'Robinho' anaweza kuhamia Azam FC Januari mwakani, kutokana na majadiliano yanayoendelea baina ya klabu hizo kubadilishana wachezaji. Simba wanamtaka beki Mganda Joseph Owino arejee Msimbazi, wakati Azam FC wanataka kukinusuru kipaji cha winga huyo mwenye kasi, ambaye msimu huu amepewa makazi ya kudumu katika benchi la wachezaji wa akiba

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC WAMTAKA UHURU ROBINHO WA MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top