Jery Tegete akigombea mpira na beki wa Ruvu, Baraka Jaffari katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ilishinda 3-2, ikitoka nyuma kwa 2-0. |
Tegete na Baraka Jaffari |
Tegete akimpiga tobo beki wa Ruvu, Ibrahim Shaaban, kulia ni George Assey |
Haruna Niyinzima akiteseka katikati ya viungo wa Ruvu |
David Luhende akipambana na wachezaji wa Ruvu |
Bao...Seif Abdallah akiinuka kushangilia, huku Yaw Berko akigalagala...hili lilikuwa bao la kwanza |
Juma Abdul aliyeruka juu kupiga mpira kichwa mbele ya mshambuliaji wa Ruvu, Abrahaman Mussa |
Tegete na Baraka jaffari |
Tegete na Baraka jaffari |
Ruvu wakishangilia bao la pili |
Niyonzima akimgeuza mchezaji wa Ruvu |
Bao...Ruvu wamefunga |
Ruvu baada ya kufunga bao la pili |
Yaw Berko akiruka bila mafanikio, mpira unatinga nyavuni |
Nurdin Bakari akikosa bao la wazi |
Makocha wa Yanga, Brandts na Msaidizi wake, Minziro |
Shamte Ally na Nizar Khalfan benchi |
Athumani Iddi 'Chuji' na Hamisi Kiiza benchi |
Ruvu wakiomba dua kabla ya mechi |
11 wa Yanga walioanza |
11 wa Ruvu walioanza |
Kipa wa Ruvu Benjamin Haule akipangua shuti la mpira wa adhabu la Mbuyu Twite |
Hamisi Kiiza akimghasi kipa Benjamin Haule |
Kiiza akishughulika |
Benjamin Haule akitibiwa na daktari wa Ruvu, Simon Sugule baada ya kuumia |
David Luhende akidhibitiwa na beki wa Ruvu |
Kavumbangtu chini ya ulinzi |
Bao la mpira wa adhabu la Twite |
Tegete akiondoka na mpira baada ya Twite kufunga |
Rashid Gumbo akienda chini baada ya kukwatuliwa na Ernest wa Ruvu |