Beki wa Mgambo, Bakari Mtama akimkwatua winga wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 3-0. |
Mtama akimpitia Msuva |
Msuva akimtoka Mtama |
Msuva anasafiri |
Msuva huyooo |
Didier Kavumbangu akijaribu kumvisha kanzu Mtama |
Mtama akimpitia Hamisi Kiiza |
Mtama na Kiiza |
Nahodha wa Yanga, Nsajigwa Shadrack akiondoka na mpira |
Kiungo wa Yanga, Athumani Iddi 'Chuji' akiondoka na mpira mbele ya Fully Maganga wa Mgambo, huku Mbuyu Twite akiwa tayari kutoa msaada |
Msuva kushoto akimpongeza Kavumbangu kwa bao lake |
Salum Kipanga wa Mgambo akiwa amemkaba Msuva asiende kwenye mpira |
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiondoka na mpira mbele ya viungo wa Mgambo, Mussa ngunda kulia na Ramadhani Malima kushoto |
Kavumbangu akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Mgambo, Salum Kipanga |
Kavumbangu na Kipanga |
Msuva anamgeuza Kipanga |
Kipanga anamzuia Msuva |
Mbuyu Twite kushoto akimpongeza Cannavaro kufunga bao la kwanza |
Yanga wakipongezana kwa ushindi |
Msuva akimpongeza Cannavaro |
Cannavaro aliyeenda hewani akifunga bao la kwanza |
Mbuyu Twite aliyeenda juu (nyuma) kuokoa kwa kichwa |
Kocha mkuu wa Mgambo, Mohamed Kampira kulia akiwa na Msaidizi wake, Joseph Lazaro kushoto |
Walioanzia benchi; Kutoka kulia Kevin Yonda, Nizar Khalfan, David Luhende na Jerry Tegete aliyefunga bao la tatu leo |
Kocha Mholanzi wa Yanga, Ernie Brandts kulia akiwa na Wasaidizi wake, Freddy Felix Minziro, Mfaume Athumani na Daktari Juma Sufiani |
Kikosi cha Yanga leo |
Kikosi cha Mgambo leo |
Kavumbangu anapasua ngome ya Mgambo |
Kiiza anagombea mpira na Mtama |
Kiiza anatia krosi mbele ya Mtama |
Frank Domayo kushoto akitafuta mbinu za kumtoka Salum Mlima |
Msuva anatia krosi mbele ya Mtama |
Kizazaa langoni mwa Mgambo |