// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA B 'WAITILIA UBANI' YANGA A TAIFA, WAPIGA MTU SITA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA B 'WAITILIA UBANI' YANGA A TAIFA, WAPIGA MTU SITA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 24, 2012

    YANGA B 'WAITILIA UBANI' YANGA A TAIFA, WAPIGA MTU SITA

    Yanga B imeifunga TMK United ya Ligi Daraja la Pili, mabao 6-1 katika mchezo wa utangulizi kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Yanga na Polisi Morogoro. Mabao ya Yanga yamefungwa na Georgeb Banda matatu katika dakika za 61, 70 na 72, Hussein Moshi dakika ya 12 na Rehani Rehani dakika ya 19 na 27, wakati la kufutia machozi la TMK United, lilifungwa na Abdi Hashimu dakika ya 62. Tazama picha za mechi.
    Abdulrahman Ally kulia akienda kuutoa mpira nyavuni baada ya George banda kushoto kufunga bao la sita

    Kikosi cha Yanga B

    George Banda kulia anawafunga tela mabeki wa TMK United 

    Mchezaji wa yanga B akimtoka beki wa TMK

    Kocha Mkuu wa Yanga B, Salvatory Edward kulia akiwa na Msaidizi wake Abubakar Salum

    Wachezaji wa Yanga A, Mbuyu Twite, Haruna Niyonzjma, Ally Bart6hez na Nadir cannavaro wakishuhudia wadogo zao wanavyotoa adhabu

    Okwi wa Yanga akivaa jezi kuingia dakika 10 za mwisho

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: YANGA B 'WAITILIA UBANI' YANGA A TAIFA, WAPIGA MTU SITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top