Hapa wanakula Ice Cream za Azam baada ya mazoezi |
Kutoka kulia Lameck Dayton, Saidi Swedi na Suleiman Kassim 'Selembe' |
Atuepeke Green kulia |
Jakcosn Chove |
Nahodha Saidi Swedi 'Panucci' |
Selembe |
Benchi la Ufundi, kutoka kulia ni Kocha Msaidizi, Ally Kiddy, Kocha Mkuu, AHmed Morocco, Mkurugenzi wa Ufundi, Nassor Bin Slum na Kocha wa Makipa, Juma Pondamali |
Atupele Green anamtoka mtu mazoezini |
Atuepele Green kushoto |
Pamoja na kuwa Mkurugenzi wa Ufundi, lakini Nassor hufanya majukumu ya Kit Manager pia |
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi akiwa na kiungo wa Coastal, Mohamed Bin Slum |
Morocco akijadiliana na Pondamali |
Daniel Lyanga, mtambo wa mabao wa Coastal Union |