// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VITOTO VYA SIMBA B NI NOMA VYAIKUNG'UTA MORO UNITED YA DARAJA LA KWANZA 3-0 TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VITOTO VYA SIMBA B NI NOMA VYAIKUNG'UTA MORO UNITED YA DARAJA LA KWANZA 3-0 TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 17, 2012

    VITOTO VYA SIMBA B NI NOMA VYAIKUNG'UTA MORO UNITED YA DARAJA LA KWANZA 3-0 TAIFA

    Simba B imeifunga Moro United mabao 3-0 katika mchezo wa utangulizi kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.    Mabao ya Simba B inayofundishwa na Suleiman Matola, akisaidiwa na Amri Said ‘Stam’ yalipatikana yote kipindi cha pili, wafungaji Ramadhan Salum dakika ya 65 na 70 na Miraj Athumani dakika ya 85.  Moro United inajiandaa na Ligi Daraja la Kwanza, inayotarajiwa kuanza Oktoba 24, mwaka huu.
    Benchi la Ufundi la Simba, Matola, Msaidizi wake, Amri na Meneja Patrick 

    Ramadhan Salum akiwapa shughuli mabeki wa Moro United

    Ramadhani Salum na Abdallah Seseme, wakimpongeza Miraj Athumani kufunga bao la tatu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: VITOTO VYA SIMBA B NI NOMA VYAIKUNG'UTA MORO UNITED YA DARAJA LA KWANZA 3-0 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top